Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

StonekApps
2017年08月19日
  • 4.7 MB

    文件大小

  • Android 4.0.3+

    Android OS

关于Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

阅读有关的话题(主题)的信息,你有兴趣跟踪

Zinazosomwa ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!

Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.

App hii inakusanya habari kila baada ya dakika moja. Hivyo watumiaji hawatapitwa na habari pindi itakapowekwa kwenye chanzo husika.

App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Zianazosomwa App.

更多

最新版本4.1.0的更新日志

Last updated on 2017年08月19日
- Tatizo la video na udio kuendelea kucheza limelekebishwa
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Maboresho ya kimuonekano
- Marekebisho ya ndani kwa ndani

**********
- Audio and Video playing problems have been fixed
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Improved User Interface
- Internal bug fixes
更多

视频和屏幕截图

  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 海报
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 1
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 2
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 3
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 4
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 5
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 6
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 截图 7

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania APK信息

最新版本
4.1.0
Android OS
Android 4.0.3+
文件大小
4.7 MB
开发者
StonekApps
在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania APK 下载。

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania历史版本

APKPure 图标

在APKPure上极速安全下载应用

一键安装安卓XAPK/APK文件!

下载 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies