About Bidhaa
Advertising, ordering and transportation services for all product groups in Tanzania
Tangaza bidhaa zako kwa haraka zaidi bila gharama yoyote, pokea maagizo ya wateja dukani mwako na pata huduma ya usafirishaji papo hapo na Bidhaa app.
Kwanini uchague Bidhaa?
1. Ni nyepesi kujiunga na kuitumia pia
2. Ni salama kwa mtumiaji
3. Hakuna gharama zozote
4. Haina matangazo yoyote tofauti na bidhaa za watumiaji
5. Ni rafiki kwa mtumiaji yeyote hasa anaeongea kiswahili
6. Huduma kwa wateja bora zaidi
7. Suluhu kwa wafanyabiashara wadogo wadogo
Bidhaa inapatikana Tanzania pekee, simu na bando lako ndo gharama zake
mengine yote ndani ya app. Suluhu ipo huku madili kibao kiganjani mwako .
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia 0687402292 au barua pepe [email protected] tupo mbio kukuza biashara yako.
What's new in the latest 1.6
Bidhaa APK Information
Old Versions of Bidhaa
Bidhaa 1.6

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!