Sobre este Ufugaji na Matibabu Vet
Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Grupo letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comentários.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
E-mail: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Local na rede Internet:
https://animalscience.care/
Nota. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog e Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
Novidades em 1.6.0 mais recente
Informações sobre Ufugaji na Matibabu Vet APK
Versões Antigas de Ufugaji na Matibabu Vet
Ufugaji na Matibabu Vet 1.6.0
Ufugaji na Matibabu Vet 1.5.9
Ufugaji na Matibabu Vet 1.5.8
Ufugaji na Matibabu Vet 1.4.8

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!