Ufugaji na Matibabu Vet
About Ufugaji na Matibabu Vet
Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website:
https://animalscience.care/
NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
What's new in the latest 1.6.0
Ufugaji na Matibabu Vet APK Information
Old Versions of Ufugaji na Matibabu Vet
Ufugaji na Matibabu Vet 1.6.0
Ufugaji na Matibabu Vet 1.5.9
Ufugaji na Matibabu Vet 1.5.8
Ufugaji na Matibabu Vet 1.4.8
Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!