Ufugaji na Matibabu Vet

Ufugaji na Matibabu Vet

  • 5.5 MB

    Rozmiar Pliku

  • Android 5.0+

    Android OS

O Ufugaji na Matibabu Vet

Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Aplikacja Pia jest już dostępna na stronie internetowej, która jest dostępna na www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya komentarze.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.

E-mail: [email protected]

WhatsApp: 0762 799 080

Strona internetowa:

https://animalscience.care/

Uwaga. Ukiwa Mahitaji Ya Kutengenezewa Android App, Blog na stronie internetowej.

Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Pokaż więcej

What's new in the latest 1.6.0

Last updated on Jul 10, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Pokaż więcej

Filmy i zrzuty ekranu

  • Ufugaji na Matibabu Vet plakat
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 1
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 2
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 3
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 4
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 5
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 6
  • Ufugaji na Matibabu Vet screenshot 7

Stare wersje Ufugaji na Matibabu Vet

APKPure ikona

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies