Ufugaji na Matibabu Vet

Ufugaji na Matibabu Vet

  • 5.5 MB

    Tamaño de archivo

  • Android 5.0+

    Android OS

Acerca del Ufugaji na Matibabu Vet

Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.

Hola ni aplicación maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vil Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Sitio web yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comentarios.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.

Correo electrónico: [email protected]

Whatsapp: 0762 799 080

Sitio web:

https://animalscience.care/

NÓTESE BIEN. Aplicación para Android Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa, blog y sitio web.

Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Mostrar más

Novedades más recientes 1.6.0

Last updated on 10/07/2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Mostrar más

Vídeos y capturas de pantalla

  • Ufugaji na Matibabu Vet Poster
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 1
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 2
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 3
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 4
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 5
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 6
  • Ufugaji na Matibabu Vet captura de pantalla 7
APKPure icono

Descarga rápida y segura a través de APKPure App

¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!

Descargar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies