About Jamii Leo
Welcome to learn different things and social relationships, politics, agriculture, etc.
Kama jina linavyo jieleza, Jamii maana yake ni mkusanyiko wa watu. Hivyo basi JAMII LEO ni App inayobeba maswala ya kijamii yanayozigusa jamii zetu katika maisha yetu ya kila siku. Kwenye App hii ya JAMII LEO utapata kujifunza na kuelimika juu ya maswala mbalimbali ya kijamii, kama vile;
1.Kilimo na ufugaji bora
2.Siasa
3.Michezo na burudani
4.Dini
5.Kumbukumbu na Historia
6.Afya na Mahusiano.
App hii ya JAMII LEO ni sehemu ya app kuu iitwayo BET eSkonga. App kuu yetu ya BET eSkonga imejikita zaidi kwenye maswala ya kielimu (kimasomo).
Kwa mawasiliano Zaidi
Mkurugenzi wa JAMII LEO
Phone +255764245394
Phone +255625895467
Phone +255788360794
E-mail [email protected]
Mkurugenzi msaidizi wa JAMII LEO
Phone +255759410327
Phone + 255621120952
E-mail [email protected]
What's new in the latest 1.0.0
Jamii Leo APK Information

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!