Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha

synnotus
Apr 10, 2023
  • 18.8 MB

    Saiz Fail

  • Android 4.4+

    Android OS

Mengenai Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha uliofanywa kueleweka barabara

Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma dan mivulano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.

Mwongozo wa Bembea ya Maisha utkupa tu mwelekeo lakini sharti kusoma vitabu vingine.

Ushauri muhimu kwa mtahiniwa.

1) Mtahiniwa sharti asome kitabu husika (Bembeaya Maisha) barabara na kukielewa.

2) Mwongozo ni kurunzi ya kumulikia njia, kwa hivyo, mtahiniwa sharti aelewe aendako.

3) Ni muhimu kusoma na kulielewa swali lililoulizwa. Ni vyema kujiuliza swali lifuatalo: Mtahini anataka habari gani kutokana na swali hili?

4) Usitoke nje ya muktadha wa swali na kuandaa habari ambazo hazihusiani na swali uliloulizwa.

5) Ikiwezekana, toa mifano kutoka kwenye tamthilia inayohusiana na jambo unalolifafanua ili kuweka jambo hilo wazi.

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 1.0.3

Last updated on Apr 10, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha penulis hantaran
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha syot layar 1
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha syot layar 2
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha syot layar 3
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha syot layar 4

Versi lama Mwongozo wa Bembea ya Maisha

APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya