Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha

synnotus
2023年04月10日
  • 18.8 MB

    文件大小

  • Android 4.4+

    Android OS

關於Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha uliofanywa kueleweka barabara

Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema。 Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni,uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi。 Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia,ndoa na mahusiano ya kijamii。 Kuna shutma,shaka,tuhuma na mivutano。 Lakini pia kuna hongera、imani、usrikiano、upendo、kutanabahi na mshikamano。 Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosika ikihimiza na kuzindua。 Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea。

Mwongozo wa Bembea ya Maisha utakupa tu mwelekeo lakini sharti kusoma vitabu vingine。

Ushauri muhimu kwa mtahiniwa。

1) Mtahiniwa sharti asome kitabu husika (Bembeaya Maisha) barabara na kukielewa。

2) Mwongozo ni kurunzi ya kumulikia njia, kwa hivyo, mtahiniwa sharti aelewe aendako。

3) Ni muhimu kusoma na kulielewa swali lililoulizwa。 Ni vyema kujiuliza swali lifuatalo:Mtahini anataka habari gani kutokana na swali hili?

4) Usitoke nje ya muktadha wa swali na kuandaa habari ambazo hazihusiani na swali uliloulizwa。

5) Ikiwezekana, toa mifano kutoka kwenye tamthilia inayohusiana na jambo unalolifafanua ili kuweka jambo hilo wazi。

更多

最新版本1.0.3的更新日誌

Last updated on 2023年04月10日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
更多

視頻和屏幕截圖

  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha 海報
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha 截圖 1
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha 截圖 2
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha 截圖 3
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha 截圖 4

Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK信息

最新版本
1.0.3
類別
教育
Android OS
Android 4.4+
文件大小
18.8 MB
開發者
synnotus
在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK 下載。

Mwongozo wa Bembea ya Maisha歷史版本

APKPure 圖標

在APKPure極速安全下載應用程式

一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!

下載 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies