Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha

synnotus
10/04/2023
  • 18.8 MB

    Размер файла

  • Android 4.4+

    Android OS

Oписание Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha uliofanywa kueleweka barabara

Bembea я Майша ни хадиси kuhusu Йона на mkewe Сара pamoja на Bunju на mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n'kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Куна шутма, шака, тухума на мивутано. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona кила хали mfano ва bembea.

Mwongozo wa Bembea ya Maisha utakupa tu mwelekeo lakini sharti kusoma vitabu vingine.

Ушаури мухиму ква мтахинива.

1) Мтахинива шарти асомэ китабу хусика (Бембая Майша) барабара на кукиэлева.

2) Mwongozo ni kurunzi ya kumulikia njia, kwa hivyo, mtahiniwa sharti aelewe aendako.

3) Ni muhimu kusoma на kulielewa swali lililoulizwa. Ni vyema kujiuliza swali lifuatalo: Mtahini anataka habari gani kutokana na swali hili?

4) Usitoke nje ya muktadha wa swali na kuandaa habari ambazo hazihusiani na swali uliloulizwa.

5) Ikiwezekana, toa mifano kutoka kwenye tamthilia inayohusiana na jambo unalolifafanua или kuweka jambo hilo wazi.

Ещё

Что нового в последней версии 1.0.3

Last updated on 10/04/2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Ещё

Видео и Скриншоты

  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha постер
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha скриншот 1
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha скриншот 2
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha скриншот 3
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha скриншот 4

Информация Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK

Последняя Версия
1.0.3
Категория
Образование
Android OS
Android 4.4+
Размер файла
18.8 MB
Разработчик
synnotus
Безопасная и Быстрая Загрузка APK на APKPure
APKPure позволяет легко и безопасно загружать Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK с проверкой подписи.

Старые Версии Mwongozo wa Bembea ya Maisha

APKPure иконка

Супер Быстрая и Безопасная Загрузка через Приложение APKPure

Один клик для установки XAPK/APK файлов на Android!

Скачать APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies