Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha

synnotus
2023年04月10日
  • 18.8 MB

    ファイルサイズ

  • Android 4.4+

    Android OS

このMwongozo wa Bembea ya Maishaについて

ムォンゴゾ ワ ベンベア ヤ マイシャ ウリオファニワ クエレウェカ バラバラ

Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi.バイナ・ヤオ・クナ・ミティキソ・イナヨティシア・ファミリア、ンドア・ナ・マフシアノ・ヤ・キジャミ。クナ シュトマ、シャカ、トゥフマ ナ ミヴターノ。 Lakini pia kuna hongera、imani、ushirikiano、upendo、kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inyosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayioona kila hali mfano wa bembea.

Mwongozo wa Bembea ya Maisha utakupa tu mwelekeo lakini sharti kusoma vitabu vingine.

ウシャウリ ムヒム クワ ムタヒニワ。

1) Mtahiniwa sharti asome kitabu husika (Bembeaya Maisha) barabara na kukielewa.

2) Mwongozo ni kurunzi ya kumulikia njia, kwa hivyo, mtahiniwa sharti aelewe aendako.

3) Ni muhimu kusoma na kulielewa swali lililoulizwa. Ni vyema kujiuliza swali lifuatalo: Mtahini anataka habari gani kutokana na swali hili?

4) Usitoke nje ya muktadha wa swali na kuandaa habari ambazo hazihusiani na swali uliloulizwa.

5) Ikiwezekana, toa mifano kutoka kwenye tamthilia inayohusiana na jambo unalolifafanua ili kuweka jambo hilo wazi.

もっと見る

最新バージョン 1.0.3 の更新情報

Last updated on 2023年04月10日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
もっと見る

ビデオとスクリーンショット

  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha ポスター
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha スクリーンショット 1
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha スクリーンショット 2
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha スクリーンショット 3
  • Mwongozo wa Bembea ya Maisha スクリーンショット 4

Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK 情報

最新バージョン
1.0.3
カテゴリー
教育
Android OS
Android 4.4+
ファイルサイズ
18.8 MB
開発者
synnotus
APKPure で安全で高速な APK のダウンロード
APKPure は署名検証を使用して、ウイルスフリーの Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK ダウンロードを保証します。

Mwongozo wa Bembea ya Maishaの旧バージョン

APKPure アイコン

APKPureアプリで超高速かつ安全にダウンロード

Android で XAPK/APK ファイルをワンクリックでインストール!

ダウンロード APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies