About Nyimbo Za Wokovu
TOLEO LA AFRIKA MASHARIKI
Tunawashukuru ndugu waliotoa idhini ya kutumia baadhi ya nyimbo katika vitabu vifuatavyo: NYIMBO STANDARD, kitabu cha Church of Province of Tanzania na Church of Province of Kenya, Na: 29, 324, 325, 326, 327, 328, 329.
NYIMBO ZA SIFA, kitabu cha Inland Publishers, Na: 9, 12, 37, 41, 104, 242, 264, 266, 272, 279, 300, 301,
302, 330, 331, 332, 333, 334.
NYIMBO ZA KIKRISTO (Kwa sasa TUMWABUDU
MUNGU). Kitabu cha Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Na: 77, 239, 248, 317.
NYIMBO ZA INJILI, kitabucha Pentecostal Assemblies of East Africa, Na: 304, 323, 335.
TENZI ZA ROHONI, kitabu cha Tanzania Mennonite Church, Na: 182 na 287.
Kamati ya Maandiko,
Kituo cha Maandiko Habari Maalum (KIMAHAMA).
S.L.P. 14140, Arusha, Tanzania.
What's new in the latest 2.3.0
Nyimbo Za Wokovu APK Information
Old Versions of Nyimbo Za Wokovu
Nyimbo Za Wokovu 2.3.0

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!