About Twende
Twende inakupa usafiri wa haraka, salama na bei nafuu.
Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, taxi, Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako.
1. Pakua 'Twende' bure, kisha jisajili kwa namba ya Tigo
2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha uanze kuomba usafiri
3. Unaweza kuangalia eneo alilopo dereva na kadri anavyo kukaribia ,utaweza kutulia na kufurahia safari yako!
4. Mwisho wa safari utaweza lipia nauli yako.
What's new in the latest 1.021
Last updated on Nov 26, 2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Twende APK Information
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free Twende APK downloads for you.

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!