About Twenzao
Carpooling application
Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta?
Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi?
Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva.
Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo, wawe ni madereva au abiria, na pia app ya Twenzao inakusanya taarifa kuhusiana na safari yenu, kwa mfano mahali mlipo.
Faida za Twenzao kwa ufupi:
- Starehe ya gari binafsi kwa bei nafuu isiyozidi ya basi.
- Safiri salama na watu ambao taarifa zao zimehakikiwa na safari yenu inatambulika.
- Kwepa usumbufu wa madalali.
- Anza safari muda wowote, sio lazima alfajiri kama ilivyozoeleka.
- Pata safari hata kwenda kwenye vijiji ambapo mabasi hayasimami.
- Kuwa huru kusimama au kutosimama safarini kuendana na makubaliano yenu mnaosafiri.
Twenzao, safiri salama kwa bei nafuu.
What's new in the latest Tw-119
Twenzao APK Information
Old Versions of Twenzao
Twenzao Tw-119
Twenzao Tw-111
Twenzao Dev-110
Twenzao Tw-109

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!