تنزيلات APK آمنة وسريعة على موقع APKPure
يستخدم APKPure التحقق من التوقيع لضمان تقديم تنزيلات خالية من الفيروسات لـ Tanzania Tech Lite : Teknolojia APK لك.
Varies with device
Android OS
Habari na Mafunzo ya Teknolojia
Tanzania Tech Lite ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili.
App ya Tanzania Tech Lite imeboresho na kupunguzwa matangazo, app ya Tanzania tech ina ukubwa wa MB 9 tu tofauti na app ya Tanzania Tech ya kawaida. Utaweza kutumia app hii kwenye simu zote zenye mfumo wa Android Go pamoja na simu zote zenye uwezo mdogo.
قم بتثبيت ملفات XAPK/APK بنقرة واحدة على أندرويد!