Shule Direct Kids

Shule Direct Kids

  • 58.4 MB

    Dateigröße

  • Android 4.1+

    Android OS

Über Shule Direct Kids

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tansania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tansania.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIREKT KINDER

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct Kids App wie BURE!

KUHUSU SHULE DIREKT

Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tansania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeza ufa Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu na msingi ya msingi Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tansania.

Mehr anzeigen

What's new in the latest 1.8.12

Last updated on 2022-02-20
Removing school input during the registration
Mehr anzeigen

Videos und Screenshots

  • Shule Direct Kids Plakat
  • Shule Direct Kids Screenshot 1
  • Shule Direct Kids Screenshot 2
  • Shule Direct Kids Screenshot 3
  • Shule Direct Kids Screenshot 4
  • Shule Direct Kids Screenshot 5
  • Shule Direct Kids Screenshot 6
  • Shule Direct Kids Screenshot 7

Shule Direct Kids APK -Informationen

Letzte Version
1.8.12
Kategorie
Lernen
Android OS
Android 4.1+
Dateigröße
58.4 MB
Available on
Sichere und schnelle APK-Downloads auf APKPure
Mit APKPure können Sie Shule Direct Kids APK einfach und sicher mit Signaturüberprüfung herunterladen.

Alte Versionen von Shule Direct Kids

APKPure Zeichen

Superschnelles und sicheres Herunterladen über die APKPure-App

Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies