Shule Direct Kids

Shule Direct Kids

  • 58.4 MB

    Rozmiar Pliku

  • Android 4.1+

    Android OS

O Shule Direct Kids

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni aplikacja iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. Aplikacja inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingini Tanzaniai n.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. Aplikacja hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya technolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE!

KUHUSU SHULE DIRECT

Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya technolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za sekwencja matumia i shuleonga uk Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa na kufuata mitaala na miongozo ya elimuek ya Wizara ya. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo aplikacja za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.

Pokaż więcej

What's new in the latest 1.8.12

Last updated on 2022-02-20
Removing school input during the registration
Pokaż więcej

Filmy i zrzuty ekranu

  • Shule Direct Kids plakat
  • Shule Direct Kids screenshot 1
  • Shule Direct Kids screenshot 2
  • Shule Direct Kids screenshot 3
  • Shule Direct Kids screenshot 4
  • Shule Direct Kids screenshot 5
  • Shule Direct Kids screenshot 6
  • Shule Direct Kids screenshot 7

Informacje Shule Direct Kids APK

Ostatnia wersja
1.8.12
Kategoria
Edukacja
Android OS
Android 4.1+
Rozmiar Pliku
58.4 MB
Available on
Bezpieczne i Szybkie Pobieranie APK na APKPure
APKPure używa weryfikacji podpisu, aby zapewnić bezpieczne pobieranie plików APK Shule Direct Kids bez wirusów dla Ciebie

Stare wersje Shule Direct Kids

APKPure ikona

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies