Shule Direct Kids

Shule Direct Kids

  • 58.4 MB

    Bestandsgrootte

  • Android 4.1+

    Android OS

Over Shule Direct Kids

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids is een app die je kunt gebruiken voor wat je kunt doen in Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct Kids-app sasa BURE!

KUHUSU SHULE DIRECT

Shule Direct is een shirika van de kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia op mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia mu u waari. Tunafanya kazi met walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo op michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala met miongozo en Wizara ya kwaTek, Sayolo's Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo applicatie za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.

Meer Info

What's new in the latest 1.8.12

Last updated on 2022-02-20
Removing school input during the registration
Meer Info

Video's en screenshots

  • Shule Direct Kids-poster
  • Shule Direct Kids screenshot 1
  • Shule Direct Kids screenshot 2
  • Shule Direct Kids screenshot 3
  • Shule Direct Kids screenshot 4
  • Shule Direct Kids screenshot 5
  • Shule Direct Kids screenshot 6
  • Shule Direct Kids screenshot 7

Shule Direct Kids APK -informatie

Laatste versie
1.8.12
Categorie
Onderwijs
Android OS
Android 4.1+
Bestandsgrootte
58.4 MB
Available on
Veilige en snelle APK Downloads op APKPure
APKPure gebruikt handtekeningverificatie om virusvrije Shule Direct Kids APK downloads voor u te garanderen.

Oude versies van Shule Direct Kids

APKPure-icoon

Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app

Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!

Downloaden APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies