Shule Direct Kids

Shule Direct Kids

  • 58.4 MB

    Ukuran file

  • Android 4.1+

    Android OS

Tentang Shule Direct Kids

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA dan KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. Aplikasi hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE!

KUHUSU SHULE LANGSUNG

shirika langsung ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimuon wa shule za tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na na. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.

Tampilkan Selengkapnya

What's new in the latest 1.8.12

Last updated on 2022-02-20
Removing school input during the registration
Tampilkan Selengkapnya

Video dan tangkapan layar

  • Shule Direct Kids poster
  • Shule Direct Kids screenshot 1
  • Shule Direct Kids screenshot 2
  • Shule Direct Kids screenshot 3
  • Shule Direct Kids screenshot 4
  • Shule Direct Kids screenshot 5
  • Shule Direct Kids screenshot 6
  • Shule Direct Kids screenshot 7

Versi lama Shule Direct Kids

ikon APKPure

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure

Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!

Unduh APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies