À propos de Shule Direct Kids
Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure !
Shule Direct Kids ni l'application iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzanie. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzanie.
Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.
FAIDA ZA SHULE DIRECT ENFANTS
- Kupenda kujifunza
- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote
- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7
- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake
- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi
- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu
- Kuongeza ufaulu
Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE !
KUHUSU SHULE DIRECT
Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzanie lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeza ufaanya chulu na matokeu. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na sekondari. Ne trouve aucune application zikiwemo mbalimbali za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa Online Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).
WASILIANA NASI
Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzanie.
What's new in the latest 1.8.12
Informations Shule Direct Kids APK
Vieilles versions de Shule Direct Kids
Shule Direct Kids 1.8.12
Shule Direct Kids 1.8.5
Shule Direct Kids 1.8.2
Shule Direct Kids 1.6.4
![APKPure icône](https://image.winudf.com/v2/upload/images/icon.png/image.png?fakeurl=1&w=120)
Téléchargement super rapide et sûr via l'application APKPure
Un clic pour installer les fichiers XAPK/APK sur Android!