Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

  • 7.4 MB

    Taille de fichier

  • Android 4.1+

    Android OS

À propos de Biblia Takatifu ya Kiswahili

La Sainte Bible en Swahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Voir plus

What's new in the latest 5.6.5

Last updated on 2020-02-14
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
Voir plus

Vidéos et captures d'écran

  • Biblia Takatifu ya Kiswahili Affiche
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 1
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 2
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 3
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 4
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 5
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 6
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili capture d'écran 7
APKPure icône

Téléchargement super rapide et sûr via l'application APKPure

Un clic pour installer les fichiers XAPK/APK sur Android!

Téléchargement APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies