Biblia Takatifu ya Kiswahili
Tentang Biblia Takatifu ya Kiswahili
Alkitab dalam bahasa Swahili - Swahili Alkitab
Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
What's new in the latest 5.6.5
Informasi APK Biblia Takatifu ya Kiswahili
Versi lama Biblia Takatifu ya Kiswahili
Biblia Takatifu ya Kiswahili 5.6.5
Biblia Takatifu ya Kiswahili 5.5.2
Biblia Takatifu ya Kiswahili 5.5.1
Biblia Takatifu ya Kiswahili 5.1.0
Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure
Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!