Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

  • 7.4 MB

    فائل سائز

  • Android 4.1+

    Android OS

About Biblia Takatifu ya Kiswahili

The Holy Bible in Swahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

مزید دکھائیں

What's new in the latest 5.6.5

Last updated on 2020-02-14
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
مزید دکھائیں

ویڈیوز اور اسکرین شاٹس

  • Biblia Takatifu ya Kiswahili پوسٹر
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 1
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 2
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 3
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 4
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 5
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 6
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili اسکرین شاٹ 7
APKPure آئیکن

APKPure ایپکےذریعےانتہائی تیزاورمحفوظڈاؤنلوڈنگ

Android پر XAPK/APK فائلیںانسٹالکرنےکےلیےایککلککریں!

ڈاؤن لوڈ کریں APKPure
thank icon
ہم آپ کے صارف کے تجربے کو بہتر بنانے کے لیے اس ویب سائٹ پر کوکیز اور دیگر ٹیکنالوجیز کا استعمال کرتے ہیں۔
اس صفحے پر کسی بھی لنک پر کلک کرکے آپ ہماری رازداری کی پالیسی اور کوکیز پالیسی پر متفق ہو رہے ہیں۔
مزید جانیں