Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

⭐ Wiktoria Goroch ⭐
2020年02月13日
  • 7.4 MB

    ファイルサイズ

  • Android 4.1+

    Android OS

このBiblia Takatifu ya Kiswahiliについて

スワヒリ語で聖書 - スワヒリ語聖書

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

もっと見る

最新バージョン 5.6.5 の更新情報

Last updated on 2020-02-14
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
もっと見る

ビデオとスクリーンショット

  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ポスター
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 1
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 2
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 3
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 4
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 5
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 6
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili スクリーンショット 7
APKPure アイコン

APKPureアプリで超高速かつ安全にダウンロード

Android で XAPK/APK ファイルをワンクリックでインストール!

ダウンロード APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies