Tentang Mkulima Mbunifu
Aplikasi inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
Aplikasi inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (Aplikasi dan Situs Web) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mappendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Solusi Android.
Dirancang oleh;
Solusi Android Mshindo.
WhatsApp: +255 762 799 080.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
What's new in the latest 2.0
Informasi APK Mkulima Mbunifu
Versi lama Mkulima Mbunifu
Mkulima Mbunifu 2.0
Mkulima Mbunifu 1.9
Mkulima Mbunifu 1.2
Mkulima Mbunifu 1.1
Mkulima Mbunifu Alternatif
Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure
Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!