Giới thiệu về Mkulima Mbunifu
Ứng dụng inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
Ứng dụng inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo fishwasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Trang web yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Giải pháp Android.
Thiết kế bởi;
Giải pháp Android Mshindo.
WhatsApp: +255 762 799 080.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
What's new in the latest 2.0
Thông tin APK Mkulima Mbunifu
Phiên bản cũ của Mkulima Mbunifu
Mkulima Mbunifu 2.0
Mkulima Mbunifu 1.9
Mkulima Mbunifu 1.2
Mkulima Mbunifu 1.1
Mkulima Mbunifu Thay thế
Tải xuống siêu nhanh và an toàn thông qua Ứng dụng APKPure
Một cú nhấp chuột để cài đặt các tệp XAPK/APK trên Android!