关于Mkulima Mbunifu
应用程式inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi。
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo。
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini。 Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira Yetu。
.
.
Mategemeo Yetu utanufaika kwa mafunzo Yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video。
.
.
Pia unaweza kututembelea katika 网站 Yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org。 Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'。
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni,Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano Yetu。
电子邮件:agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp:+255 762 799 080
.
****************************************************** ***************
安卓解决方案。
设计者;
Mhindo Android 解决方案。
WhatsApp:+255 762 799 080。
电子邮件:agrotanzania.care@gmail.com