Mkulima Mbunifu 정보
앱 inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira Yetu.
.
.
Mategemeo Yetu utanufaika kwa mafunzo Yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika 웹사이트 Yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano Yetu.
이메일: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
안드로이드 솔루션.
에 의해 설계된;
Mshindo 안드로이드 솔루션.
WhatsApp: +255 762 799 080.
이메일: agrotanzania.care@gmail.com