Informazioni su Mkulima Mbunifu
App inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Sito web yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Soluzioni Android.
Progettato da;
Soluzioni Mshindo Android.
WhatsApp: +255 762 799 080.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
What's new in the latest 2.0
Informazioni sull'APK Mkulima Mbunifu
Vecchie versioni di Mkulima Mbunifu
Mkulima Mbunifu 2.0
Mkulima Mbunifu 1.9
Mkulima Mbunifu 1.2
Mkulima Mbunifu 1.1
Mkulima Mbunifu Alternativa
Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!