About Kibanda Umiza App
Enjoy All Swahili Shows and Sports in your palm.
Kibanda Umiza. Ni sehemu maalum amabapo wapenda michezo hukusanyika na kupata burudani kwa Pamoja.
Lakini kwa sasa Dunia Imebadilika na ndio maana tumekuletea App ya kibanda umiza cha kidijitali, inayokuwezesha kupata burudani yote ambayo huw unaipata kwenye vibanda Umiza.
Kuna Baadhi ya mechi huchezwa Usiku hivyo hauna haja ya kufuata burudani baliburudani inabidi ikufuate Hapo Ulipo.
Huduma hii Haina tofauti na wale wamiliki wa kibanda Umiza lakini utofauti ni kwamba kibanda umiza chetu ni cha kidijitali zaidi.
Hapa utapata mechi zote za Ligi kuu na nje bila kikomo.
App Availability:
Our app is only available in Tanzania due to limitations, and we have no plans to broaden its availability.
What's new in the latest 1.1.2.0.2
Kibanda Umiza App APK Information

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!