Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. 정보
App bora kwa kujifunza Ufugaji wa Wanyama kitaalamu, ushauri mzuri wa Wataalamu
Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora
Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe
Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama
Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania
Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz
What's new in the latest 1.0
Last updated on 2021-02-27
-Makala bora zaidi za Ufugaji zimeongezwa
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. apk 정보
APKPure에서 안전하고 빠른 APK 다운로드
APKPure는 바이러스 없는 Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. APK 다운로드를 위해 서명 확인을 사용합니다.
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.의 오래된 버전
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. 1.0
16.1 MBFeb 26, 2021