Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala na watakatifu
Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala mbalimbali za kanisa katoliki na historia za watakatifu kiganjani mwako ili uweze kusoma neno la Mungu kila siku na pia kusali kumuomba na kumshukuru Mungu wakati wowote na mahali popote.
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience. By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.