About Sikia App
Sikiliza simulizi nzuri kutoka kwa watunzi wako unaowapenda wakati wowote.
Sikia App inakuletea simulizi kwa lugha ya Kiswahili kutoka kwa waandishi anuwai kwa njia ya sauti. Simulizi hizi zimesimuliwa na wasimulizi mashuhuri wa Kitanzania, hadithi hizo zimegawanywa katika nyanja tofauti kama mapenzi, simulizi za maisha, simuliziza kutisha, simulizi za afya nanyinginezo.
Jinsi ya Kutumia Sikia App
1. Tafuta simulizi kwa jina la mwandishi, aina ya simulizi au jina la simulizi.
2. Chagua nasikiliza simuliz izinazosikilizwa zaidi.
3. Chuja simulizi katika kategoria tofauti
4. Tazama maoni ju uyasimulizi tofauti.
5. Pata simulizi zinazopendekezwa zaidi
What's new in the latest 2.0
Last updated on 2022-11-01
Simulizi app new version. Now you can download episode, and pay for episode.
Sikia App APK Information
Latest Version
2.0
Category
EntertainmentAndroid OS
Android 5.0+
File Size
10.8 MB
Developer
Ovifocus LimitedContent Rating
Everyone
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free Sikia App APK downloads for you.
Old Versions of Sikia App
Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!





