Cheka Point - Vichekesho
Cheka Point - Vichekesho সম্পর্কে
Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho
😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.
Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.
Mengine Cheka Point
» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.
» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake
» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.
» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote
» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu
» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha
» Na mambo mengine mengi.....
Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.
What's new in the latest 1.8
Cheka Point - Vichekesho APK Information
Cheka Point - Vichekesho এর পুরানো সংস্করণ
Cheka Point - Vichekesho 1.8
Cheka Point - Vichekesho 1.7
Cheka Point - Vichekesho 1.6
Cheka Point - Vichekesho 1.B4
APKPure অ্যাপের মাধ্যমে অতি দ্রুত এবং নিরাপদ ডাউনলোড করা হচ্ছে
Android-এ XAPK/APK ফাইল ইনস্টল করতে এক-ক্লিক করুন!