Cheka Point - Vichekesho

Cheka Point - Vichekesho

  • 13.0 MB

    Размер файла

  • Android 4.1+

    Android OS

Oписание Cheka Point - Vichekesho

Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

Ещё

Что нового в последней версии 1.8

Last updated on 2020-07-04
New Redesign
Ещё

Видео и Скриншоты

  • Cheka Point - Vichekesho постер
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 1
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 2
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 3
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 4
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 5
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 6
  • Cheka Point - Vichekesho скриншот 7

Информация Cheka Point - Vichekesho APK

Последняя Версия
1.8
Категория
Социальные
Android OS
Android 4.1+
Размер файла
13.0 MB
Разработчик
Tanzania Tech Media
Безопасная и Быстрая Загрузка APK на APKPure
APKPure позволяет легко и безопасно загружать Cheka Point - Vichekesho APK с проверкой подписи.
APKPure иконка

Супер Быстрая и Безопасная Загрузка через Приложение APKPure

Один клик для установки XAPK/APK файлов на Android!

Скачать APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies