Cheka Point - Vichekesho

Cheka Point - Vichekesho

  • 13.0 MB

    파일 크기

  • Android 4.1+

    Android OS

Cheka Point - Vichekesho 정보

남다 난탕 ☝️ wa Vichekesho

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

더 보기

What's new in the latest 1.8

Last updated on 2020-07-04
New Redesign
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Cheka Point - Vichekesho 포스터
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 1
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 2
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 3
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 4
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 5
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 6
  • Cheka Point - Vichekesho 스크린샷 7
APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기