Cheka Point - Vichekesho

Cheka Point - Vichekesho

  • 13.0 MB

    Dimensione

  • Android 4.1+

    Android OS

Informazioni su Cheka Point - Vichekesho

Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

Mostra Altro

What's new in the latest 1.8

Last updated on 2020-07-04
New Redesign
Mostra Altro

Video e screenshot

  • Poster Cheka Point - Vichekesho
  • 1 Schermata Cheka Point - Vichekesho
  • 2 Schermata Cheka Point - Vichekesho
  • 3 Schermata Cheka Point - Vichekesho
  • 4 Schermata Cheka Point - Vichekesho
  • 5 Schermata Cheka Point - Vichekesho
  • 6 Schermata Cheka Point - Vichekesho
  • 7 Schermata Cheka Point - Vichekesho

Informazioni sull'APK Cheka Point - Vichekesho

Ultima versione
1.8
Categoria
Social
Android OS
Android 4.1+
Dimensione
13.0 MB
Download APK sicuri e veloci su APKPure
APKPure utilizza la verifica delle firme per garantire download di APK Cheka Point - Vichekesho senza virus per te.

Vecchie versioni di Cheka Point - Vichekesho

Icona APKPure

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure

Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!

Scarica APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies