Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kimnet Media
Sep 27, 2019
  • 4.0 MB

    Tamanho do arquivo

  • Android 4.2+

    Android OS

Sobre este Ushairi wa Mwanagenzi

Aprenda sobre Poesia Swahili e leia muitos Swahili Poems de diferentes artistas

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

Mostrar mais

Novidades em 6.0 mais recente

Last updated on 2019-09-27
- Mashairi sasa yamehamishwa kutoka "ushari.mwanagenzi.com" hadi "ushairi.kimnetmedia.co.ke"
- Tumeongeza uwezo zaidi wa vifaa vinavyotumia Android 9.
- Ushairi wa Mwanagenzi sasa inamilikiwa rasmi na Kimnet Media.
- Tumepunguza ukubwa wa app.
- Mabadiliko madogo yenye manufaa.
Mostrar mais

Vídeos e capturas de tela

  • Ushairi wa Mwanagenzi Cartaz
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi imagem de tela 7

Informações sobre Ushairi wa Mwanagenzi APK

Última Versão
6.0
Categoria
Educação
Android OS
Android 4.2+
Tamanho do arquivo
4.0 MB
Desenvolvedor
Kimnet Media
Downloads seguros e rápidos de APK no APKPure
O APKPure usa verificação de assinatura para garantir downloads de APK Ushairi wa Mwanagenzi sem vírus para você.

Versões Antigas de Ushairi wa Mwanagenzi

APKPure ícone

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App

Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!

Baixar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies