Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kimnet Media
Sep 27, 2019
  • 4.0 MB

    Rozmiar Pliku

  • Android 4.2+

    Android OS

O Ushairi wa Mwanagenzi

Dowiedz się więcej o poezji suahili i przeczytaj wiele wierszy suahili różnych artystów

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

Pokaż więcej

What's new in the latest 6.0

Last updated on 2019-09-27
- Mashairi sasa yamehamishwa kutoka "ushari.mwanagenzi.com" hadi "ushairi.kimnetmedia.co.ke"
- Tumeongeza uwezo zaidi wa vifaa vinavyotumia Android 9.
- Ushairi wa Mwanagenzi sasa inamilikiwa rasmi na Kimnet Media.
- Tumepunguza ukubwa wa app.
- Mabadiliko madogo yenye manufaa.
Pokaż więcej

Filmy i zrzuty ekranu

  • Ushairi wa Mwanagenzi plakat
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi screenshot 7

Stare wersje Ushairi wa Mwanagenzi

APKPure ikona

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies