عن Ushairi wa Mwanagenzi
تعرف على الشعر السواحلي وقراءة الكثير من قصائد السواحلية من مختلف الفنانين
Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.
Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:
- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.
- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.
- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.
- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi
- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.
- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.
- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.
- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.
Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.
Shukran.
What's new in the latest 6.0
- Tumeongeza uwezo zaidi wa vifaa vinavyotumia Android 9.
- Ushairi wa Mwanagenzi sasa inamilikiwa rasmi na Kimnet Media.
- Tumepunguza ukubwa wa app.
- Mabadiliko madogo yenye manufaa.
معلومات Ushairi wa Mwanagenzi APK
الإصدارات القديمة لـ Ushairi wa Mwanagenzi
Ushairi wa Mwanagenzi 6.0
Ushairi wa Mwanagenzi 1.3

قم بتنزيل سريع وآمن بالغاية عبر تطبيق APKPure
قم بتثبيت ملفات XAPK/APK بنقرة واحدة على أندرويد!