Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kimnet Media
2019年09月27日
  • 4.0 MB

    文件大小

  • Android 4.2+

    Android OS

關於Ushairi wa Mwanagenzi

了解斯瓦希里語詩歌,閱讀來自不同藝術家的許多斯瓦希里詩歌

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

更多

最新版本6.0的更新日誌

Last updated on 2019年09月27日
- Mashairi sasa yamehamishwa kutoka "ushari.mwanagenzi.com" hadi "ushairi.kimnetmedia.co.ke"
- Tumeongeza uwezo zaidi wa vifaa vinavyotumia Android 9.
- Ushairi wa Mwanagenzi sasa inamilikiwa rasmi na Kimnet Media.
- Tumepunguza ukubwa wa app.
- Mabadiliko madogo yenye manufaa.
更多

視頻和屏幕截圖

  • Ushairi wa Mwanagenzi 海報
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi 截圖 7

Ushairi wa Mwanagenzi歷史版本

APKPure 圖標

在APKPure極速安全下載應用程式

一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!

下載 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies