Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kimnet Media
Sep 27, 2019
  • 4.0 MB

    파일 크기

  • Android 4.2+

    Android OS

Ushairi wa Mwanagenzi 정보

스와힐리어시에 대해 알아보고 다른 아티스트의 스와힐리어시를 많이 읽으십시오.

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

더 보기

What's new in the latest 6.0

Last updated on 2019-09-27
- Mashairi sasa yamehamishwa kutoka "ushari.mwanagenzi.com" hadi "ushairi.kimnetmedia.co.ke"
- Tumeongeza uwezo zaidi wa vifaa vinavyotumia Android 9.
- Ushairi wa Mwanagenzi sasa inamilikiwa rasmi na Kimnet Media.
- Tumepunguza ukubwa wa app.
- Mabadiliko madogo yenye manufaa.
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Ushairi wa Mwanagenzi 포스터
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi 스크린샷 7

Ushairi wa Mwanagenzi의 오래된 버전

APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기