”Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kimnet Media
Sep 27, 2019
  • 4.0 MB

    ขนาดไฟล์

  • Android 4.2+

    Android OS

เกี่ยวกับ Ushairi wa Mwanagenzi

Learn about Swahili Poetry and read lots of Swahili Poems from different artists

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

แสดงเพิ่มเติม

What's new in the latest 6.0

Last updated on 2019-09-27
- Mashairi sasa yamehamishwa kutoka "ushari.mwanagenzi.com" hadi "ushairi.kimnetmedia.co.ke"
- Tumeongeza uwezo zaidi wa vifaa vinavyotumia Android 9.
- Ushairi wa Mwanagenzi sasa inamilikiwa rasmi na Kimnet Media.
- Tumepunguza ukubwa wa app.
- Mabadiliko madogo yenye manufaa.
แสดงเพิ่มเติม

วิดีโอและภาพหน้าจอ

  • Ushairi wa Mwanagenzi โปสเตอร์
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi ภาพหน้าจอ 7
APKPure ไอคอน

การดาวน์โหลดที่รวดเร็วและปลอดภัยเป็นพิเศษผ่านแอป APKPure

คลิกเพียงครั้งเดียวเพื่อติดตั้งไฟล์ XAPK/APK บน Android!

ดาวน์โหลด APKPure
thank icon
เราใช้คุกกี้และเทคโนโลยีอื่น ๆ บนเว็บไซต์นี้ เพื่อปรับปรุงประสบการณ์การใช้งานของคุณ
การคลิกลิงก์ใด ๆ ในหน้านี้แสดงว่าคุณยินยอมในส่วนของ นโยบายความเป็นส่วนตัว และ นโยบายคุกกี้ ของเรา
เรียนรู้เพิ่มเติม