About Viguta
VIGUTA, VICOBA Groups Union Tanzania
VIGUTA, VICOBA Groups Union Tanzania ni Taasisi iliyoanzishwa tarehe 19 August 2016 kwa lengo la kutoa usimamizi madhubuti wa VICOBA kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa wanakikundi. Kama Taasisi makini tunasimamia VICOBA na kuvisaidia kuendesha mambo yake kwa uweledi wa hali ya juu kwa kutoa semina na mafunzo ya aina mbalimbali. Tunatumia wanataaluma waliobobea ili kuendana na kasi ya teknolojia na kupatata matokeo makubwa.
VICOBA (Village Community Bank) ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kutoka kwenye umaskini.Mfumo huu ulianza Tanzania miaka 10 iliyopita na umeonyesha mafanikio makubwa kwa wanachama kukopeshana na kusaidiana katika matatizo mbalimbali na pia kuanzisha miradi ya kiuchumi na kusaidia asilimia kubwa ya wananchi kujikwamua na umaskini ambao umetawala.
What's new in the latest 1.0
Viguta APK Information
Old Versions of Viguta
Viguta 1.0

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!