Ajira, Fact, Vichekesho, Mafumbo, Tender, Motisha na Teknolojia na Redio
Life ni App pendwa yenye lengo la kubadilisha maisha yako ya kila siku. Ni App inayokusogezea nafasi za Ajira kutoka kwenye makampuni mbalimbali pamoja na serikalini, Fact za kimaisha zenye lengo la kukufahamisha zaidi na kukuchangamsha kila siku, Fumbo(riddles) kukufikirisha na kukuchangamsha, Vichekesho vya kukufurahisha, Tenda(tender) za serikali na makampuni binafsi ili kukusogezea fursa kiganjani mwako, Motisha(motivation) ili kukuimarisha pale unapotaka kukata tamaa pamoja na Habari za kiteknolojia kupanua uelewa na ufahamu kwenye swala la teknolojia. Kwenye menyu ya pembeni tumekuwekea vituo mbalimbali vya Redio kukuburudisha na kukuweka karibu zaidi na vituo pendwa vya redio. Kwakuwa lengo letu ni kukuweka karibu zaidi na vitu vizuri, team yetu ipo tayari kukuwekea vituo vya redio unavyohitaji pamoja na kuongeza habari nyingine mbalimbali zenye manufaa.