Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Apps Nzuri
Aug 4, 2020
  • 4.0 MB

    Tamanho do arquivo

  • Android 4.1+

    Android OS

Sobre este Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako

Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.

Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.

App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.

Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.

Website - https://priceintanzania.com

Email us - [email protected]

Mostrar mais

Novidades em 1.0.0 mais recente

Last updated on 2020-08-05
New Release
Mostrar mais

Vídeos e capturas de tela

  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android Para Trailer oficial
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 1
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 2
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 3
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 4
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 5
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 6
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android imagem de tela 7

Informações sobre Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android APK

Última Versão
1.0.0
Categoria
Ferramentas
Android OS
Android 4.1+
Tamanho do arquivo
4.0 MB
Desenvolvedor
Apps Nzuri
Downloads seguros e rápidos de APK no APKPure
O APKPure usa verificação de assinatura para garantir downloads de APK Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android sem vírus para você.

Versões Antigas de Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

APKPure ícone

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App

Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!

Baixar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies