Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Apps Nzuri
Aug 4, 2020
  • 4.0 MB

    फाइल का आकार

  • Android 4.1+

    Android OS

Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android के बारे में

फहमु कवा अनदानी िसफा न बेइ या सिमु याको

Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.

Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.

App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.

Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.

Website - https://priceintanzania.com

Email us - [email protected]

अधिक दिखाएं

What's new in the latest 1.0.0

Last updated on 2020-08-05
New Release
अधिक दिखाएं

वीडियो और स्क्रीनशॉट

  • एंडरॉयड आधिकारिक ट्रेलर के लिए Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 1
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 2
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 3
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 4
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 5
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 6
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android स्क्रीनशॉट 7

Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android के पुराने संस्करण

APKPure आइकन

APKPure ऐप के माध्यम से सुपर तेज़ और सुरक्षित डाउनलोडिंग

एंड्रॉइड पर XAPK/APK फ़ाइलें इंस्टॉल करने के लिए एक-क्लिक करें!

डाउनलोड APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies