Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Apps Nzuri
2020年08月05日
關於Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako
Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.
Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.
App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.
Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.
Website - https://priceintanzania.com
Email us - [email protected]
最新版本1.0.0的更新日誌
Last updated on 2020年08月05日
New Release
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android APK信息
在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android APK 下載。
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android歷史版本
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android 1.0.0
4.0 MB2020年08月05日
在APKPure極速安全下載應用程式
一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!