Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android hakkında
Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako
Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.
Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.
App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.
Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.
Website - https://priceintanzania.com
Email us - [email protected]
What's new in the latest 1.0.0
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android APK Bilgileri
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android'in eski sürümleri
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android 1.0.0
APK Uygulaması ile Süper Hızlı ve Güvenli İndirme
XAPK/APK dosyalarını Android'e yüklemek için tek tıkla!