Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android 정보
Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu 야코
Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.
Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.
App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.
Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.
Website - https://priceintanzania.com
Email us - [email protected]
What's new in the latest 1.0.0
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android apk 정보
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android의 오래된 버전
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android 1.0.0
APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드
한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!